Tafsiri hii:
Mke na mume walisikizana wakitaka ngono watatumia code " kupiga simu" ili watoto wasielewe.
Basi siku moja walikua wameteta hawasemezani.
Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!"
Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!"
Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje"
Mama akamtuma motto: " Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafungua simu ya jamii!!!"